Mustakabali wa chama cha Wiper bado haujulikani katika muungano wa Azimio One-Kenya

  • | K24 Video
    146 views

    Mustakabali wa chama cha Wiper ukiwa bado haujulikani katika muungano wa Azimio One-Kenya, wawaniaji wa viti mbalimbali na wafuasi wao wanaendelea kujipata katika hali ya suitafahamu. Wengi hawana uhakika kama chama kitarejea Azimio au ndiyo kimejiondoa kabisa.