Skip to main content
Skip to main content

Muthama na Sonko waongoza juhudi za kuunganisha viongozi wa Ukambani kuelekea uchaguzi 2027

  • | Citizen TV
    6,144 views
    Duration: 1:09
    Wanasiasa Johnson Muthama na Mike Sonko wameahidi kuwaleta pamoja viongozi wote wa ukambani ili kuhimiza umoja wa jamii hiyo na kuwa na sauti moja katika uchaguzi mkuu ujao.