- 88,553 viewsDuration: 1:23Tazama tukio la kushangaza nchini Nepal, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 97 ameokolewa akiwa hai baada ya kufukiwa na tope kufuatia mafuriko makubwa. Polisi walimtoa eneo hilo kwa kutumia mashine kubwa ya kuchimba na kuzoa vifusi #bbcswahili #nepal #tibet Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw