Muungano wa Uropa waipa Kenya zaidi ya shilingi bilioni 1.5

  • | K24 Video
    51 views

    Kenya imepokea ruzuku ya shilingi bilioni 1.7 kutoka kwa muungano wa Uropa chini ya mpango wa kuipa jamii uimara wakati wa ukame , katika kukabiliana na baa la njaa. serikali ya kenya itatoa shilingi milioni 650 kujalizia kitita hicho.