- 399 viewsDuration: 1:35Muungano wa Kitaifa wa Walipa Ushuru (NTA) umewataka wadau katika sekta ya uchukuzi kuepuka kutoza nauli za kupindukia baada ya bei ya mafuta kupanda . Katika taarifa yao, muungano huo umeonya kuwa baadhi ya wahudumu wa matatu wanatumia hali hiyo kuwanyonya Wakenya ambao tayari wanakabiliwa na gharama kubwa ya maisha.