24 Nov 2025 10:32 am | Citizen TV 181 views Duration: 2:31 Muungano wa wanahabari nchini KUJ umeandaa mafunzo kwa wanahabari katika kaunti ya Nyamira, kuwahamasisha kuhusiana na usalama wao wanapokuwa kazini.