‘’Muziki ni maamuzi ya mwanamuziki kuimba ‘matakataka’ au ujumbe”

  • | BBC Swahili
    350 views
    Amani Temba almarufu Mheshimiwa Temba ni moja kati ya wasanii tajika wa Bongo Fleva, ameimbia BBC soko la muziki limebadilika hivyo wasanii wazamani hawana budi kubadilika pia Temba alianza muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 na kujizolea umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 akitamba na vibao kama nampenda yeye na side mnyamwezi 🎥 @bosha_nyanje na @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #muziki