Skip to main content
Skip to main content

'Muziki wa Tanzania unavutia'

  • | BBC Swahili
    3,853 views
    Duration: 2:04
    Msanii wa wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya Mwanaisha Abdallah maarufu kama @nyota_ndogo ameimbia BBC kuwa kwa sasa muziki wa Tanzania ni bora zaidi afrika ya mashariki sababu kuwa akiitaja kuwa ni tungo zenye staha na maadili, Nyota ambaye alitamba kibao cha watu na viatu ni miongoni mwawasanii wazamani wanaotumbuiza kwenye tamasha la kusherekea miaka 30 ya Bongo fleva Jijini Dar es salaam - - #bbcswahili #muziki #bongofleva #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw