- 239 viewsDuration: 1:34Huku mitihani ya Kitaifa ya KPSEA na KJSEA ikiingia siku ya pili leo, naibu Kamishna Nandi ya Kati, Alfet Jilo, amewahakikishia wadau wa elimu kwamba serikali imeweka mikakati thabiti ya kuhakikisha usambazaji wa karatasi za mitihani hadi maeneo ya mbali na yasiyofikika kwa urahisi.