Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa na mafuriko yaacha maafa makubwa katika kaunti za Homa Bay na Kisumu

  • | NTV Video
    1,442 views
    Duration: 2:40
    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo la Nyanza imeacha maafa makubwa katika kaunti za Homa Bay na Kisumu baada ya mto Miriu kufurika na kuzamisha makazi, mashamba na barabara. Wakazi sasa wanazishutumu serikali za kaunti hizo kwa uzembe, wakisema ujenzi wa dimbwi la kuzuia maji katika eneo la Nyakweri umegeuka kuwa chanzo cha maafa na mateso badala ya kuzuia mafuriko. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya