- 261 viewsDuration: 1:26Idara ya utabiri wa hali ya hewa imebashiri kwamba mvua kubwa ya Elnino inatarajiwa katika maeneo ya Magharibi mwa Kenya katika miezi ya Oktoba , Novemba na Desemba. akizungumza hapa Jijini Nairobi, Naibu mkurugenzi wa Idara hiyo Charles Mugah, amesema kuwa mvua za vuli zinatarajiwa kuwa kubwa kiliko kiwango cha kawaida katika maeneo mengi nchini.