- 10,153 viewsDuration: 3:01Kundi la vijana waliojihami walivamia tena mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa inayozozaniwa kati ya waziri wa zamani Raphael Tuju na benki ya East African Development (EADB). Inadaiwa vijana hao walivunja lango kuu la kampuni ya Dari inayohusishwa na tuju na kuingia kwa nguvu. Kulingana na polisi vijana hao wanahusishwa na Tuju ambaye aliingia katika kipande hicho cha ardhi kinyume na maelekezo ya mahakama.