Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wanawake bungeni Samburu atetewa dhidi ya matumizi mabaya ya chakula cha msaada

  • | KBC Video
    125 views
    Duration: 3:10
    Wanawake katika kaunti ya Samburu wamemtetea mwakilishi wanawake katika bunge la kaunti dhidi ya madai ya kutumia visivyo chakula cha msaada. Wanawake hao walilaani maandamano dhidi ya mbunge huyo wakidai yalifadhiliwa na wapinzani wake wa k8isiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive