- 16,923 viewsDuration: 2:48Shule ya Sekondari ya Ruthimitu iliyoko huko Dagoreti South hapa jijini Nairobi inalaumiwa baada ya mwanafunzi wa kidato cha tatu kumdunga mwanafunzi mwen zake kisu na kumjeruhi vibaya. Yadaiwa mwanafunzi huyo alidungwa na mwen zake wakati alikuwa akijaribu kuwatengeza wanafunzi wengine waliokuwa wakipigana. Kama anavyorifu Franklin Wallah, mwanafunzi aliyejuhiwa, angali anatibiwa, na mshukiwa ametiiwa nguvuni.