Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Masinde Muliro afariki akiwa kwenye zoezi la usajili wa makurutu

  • | Citizen TV
    1,860 views
    Duration: 1:57
    Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 22 na ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Masinde Muliro huko Kakamega ameaga dunia akiwa kwenye zoezi la usajili wa makurutu wa kujiunga na kikosi cha jeshi katika eneo la Chwele kaunti Ndogo ya Kabuchai.