15 Dec 2025 1:19 pm | Citizen TV 3,445 views Duration: 1:17 Rais William Ruto amemtunuku mwanamazingira truphena muthoni tuzo ya Head of State Commendation HSC, baada ya kuvunja rekodi ya kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo .