- 7,485 viewsDuration: 57sJayne Hardman, 48, alipoteza pua yake kutokana na ugonjwa adimu wa mfumo wa kinga mwilini. Sasa anatumia pua bandia zaidi ya 10, kila moja ikiwa na muonekano tofauti kwa ajili ya matukio mbalimbali. Ana pua aliyoipa jina la “pua ya ulevi”, ambayo ina rangi inayofanana na ngozi yake inavyokuwa baada ya kunywa pombe. Anasimulia hadithi yake kwenye mitandao ya kijamii ili kuelimisha watu kuhusu ugonjwa huo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw