- 1,713 viewsDuration: 4:45Kwa zaidi ya miaka kumi, Daramis amekuwa fundi bomba wa mifereji kaunti ya Taita Taveta. Licha ya kazi hii kuhusishwa na wanaume, mama huyu ameonyesha umahiri wake kazini. Alianza kama mfanyakazi kibarua na kisha baadaye kupanda cheo hadi kuwa msimamizi wa fundi wanaokarabati mabomba ya maji katika kampuni ya maji ya Taita Taveta. Damaris ndiye leo tumavisha koja la mwanamke bomba.