- 352 viewsDuration: 5:37Esther Nyaribari kutoka Kijiji cha Kendeera, Kibonyoru Kaunti ya Nyamira anaendelea kuifaa jamii yake kutokana na jitihada zake za kuwapa wasichana, wajane na kina mama wadogo nafasi ya kujichumia riziki kupitia ushonaji nguo. Esther mwenye umri wa miaka 35 anasema mpango huo umewavutia wasichana hususan wale waliojifungua watoto wakiwa wadogo ili kuimarisha mapato yao. Mpango huo mpaka sasa umewafaidi zaidi ya wasichana 200...Esther ndiye wiki hii tunamvisha koja la mwanamke Bomba