Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba | Jinsi Sarah Meitamei anavyotumia mto Narok kukuza miti na kusaidia wajane

  • | Citizen TV
    340 views
    Duration: 4:47
    Sarah Meitamei Nyambura amechangia kuzuia hasara ya mafuriko katika mji wa Narok kufuatia juhudi zake za kuhifadhi mazingira. Kupitia mradi wake wa Orgilai anaoufanya kando ya mto enkare narok, mama huyo amesaidia kunadhifisha mji wa narok kando na kuwaajiri vijana wa mitaa na wajane. kwenye mwanamke bomba, tunamvisha taji sarah meitei