Mwanamke Bomba | Purity Wambui ni muuza mitumba jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    869 views

    Na kwenye Mwanamke Bomba hii leo, tunamuangazia Purity Wambui kutokana na ukakamavu wake anapoendesha biashara ya mitumba katika soko la Gikomba hapa Nairobi