Utata wa mauzo ya Gari

  • | Citizen TV
    3,641 views

    Mgogoro umeibuka kuhusiana na mauzo ya gari aina ya Mercedes-Benz E350, yenye thamani ya shilingi 4.1 milioni, huku madai ya udanganyifu na utata wa umiliki yakiibuliwa.