Mwanamke kutoka Kathonzweni aomba asaidiwe kumtafuta mtoto wake aliyeibwa kwenye Matatu

  • | KBC Video
    72 views

    Mwanamke mwenye miaka 24 kutoka Kathonzweni eneo la Mwingi ya Kati kaunti ya Kitui anaomba usaidizi wa kumtafuta mtoto wake wa miezi 7 aliyeibwa kwenye Matatu. Patience Kanini Kathambo inasemekana aliabiri matatu kutoka Nairobi mnamo tarehe 29 mwezi Februari mwaka huu, ambapo mtu asiyemfahamu aliomba kumbeba mtoto wake. Kanini aliamka baadaye na kupata mwanamke huyo na mtoto wake hawapo na sasa anashuku kuwa aliwekewa dawa za kulevya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive