Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume mmoja afariki baada ya gari lake kusombwa na maji makali Kitengela

  • | NTV Video
    4,180 views
    Duration: 2:57
    Mwanamume mmoja amefariki baada ya gari lake kusombwa na maji makali ya mafuriko alipokuwa akijaribu kuvuka Mto Kitengela jana usiku. Mwili wake ulipatikana baadaye ndani ya mto ukiwa umenaswa katika mabaki ya gari hilo. #NTVWikendi @loftymatambo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya