Mwanamume na mjukuu wake waokolewa Mwea walipokwama kwenye mafuriko

  • | Citizen TV
    542 views

    Mwanamume wa miaka 65 na mjukuu wake aliye na umri wa miaka 14 hatimaye wameokolewa saa 36 tangu walipokwama kwenye mafuriko kwenye shamba la mpunga la Gatuiri eneo la Mwea kaunti ya Kirinyaga.