Mwanaume adaiwa kumuuwa mpenziwe mtaani Lang'ata

  • | Citizen TV
    4,203 views

    Maafisa wa polisi mtaani Langata wanamsaka mshukiwa wa mauwaji ya mpenziwe. Inaripotiwa kuwa naneu Muthoni aliondoka nyumbani kwao kuelekea kwa mpenziwe Thomas Muthee ijumaa wiki jana asionekane tena. Hata hivyo, mwili wake ulipatikana siku mbili baadaye.