15 May 2026 2:15 pm | Citizen TV 1,260 views Duration: 1:38 Maafisa wa polisi mjini Garissa wachunguza kisa ambapo mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 36 auguza majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na jamaa zake wa karibu kutokana na tofauti za kisiasa.