Mwaura : Serikali inaunga mkono azma ya Raila kuwania uwenyekiti wa Muungano wa Afrika

  • | KBC Video
    57 views

    Serikali inaunga mkono kikamilifu azma ya aliyekuwa waziri mkuuRaila Odinga ya kuwania uwenyekiti wa Muungano wa Afrika, na kwamba imeweka mikakati kabambe ya kumpigia debe. Haya ni kwa mujibu wa hatibu wa serikali, Isaac Mwaura. Kwenye hotuba yake ya kila wiki, Mwaura alisema kwamba Raila ana sifa zinazohitajika na hadhi katika jamii ambavyo vitasaidia kuusongesha mbele muungano huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive