Skip to main content
Skip to main content

Mwekezaji kutoka Italia afungwa jela miezi mitatu kwa kukiuka agizo la mahakama kuhusu ardhi

  • | Citizen TV
    623 views
    Duration: 1:34
    Mwekezaji mmoja mwenye asili ya kiitaliano huko mjini Malindi kaunti ya Kilifi amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu gerezani au alipe faini ya Shilingi laki tatu na mahakama ya Mazingira na ardhi kwa kukiuka agizo la mahakama ambalo lilimzuia kugawa kipande cha ardhi kinachozozaniwa katika eneo la Watamu.