28 Oct 2025 11:18 am | Citizen TV 587 views Duration: 17:03 Je, miungano ya kisiasa huchochea mapendeleo? Baadhi ya maeneo hupewa umuhimu kuliko mengine Je, utawala wa Rais Ruto umebagua maeneo kisiasa? Gavana wa Nyeri alisema Mlima Kenya umebaguliwa