28 Oct 2025 11:44 am | Citizen TV 448 views Duration: 20:08 Je, miungano ya kisiasa huchochea mapendeleo? Baadhi ya maeneo hupewa umuhimu kuliko mengine Je, utawala wa Rais Ruto umebagua maeneo kisiasa? Gavana wa Nyeri alisema Mlima Kenya umebaguliwa