28 Oct 2025 12:32 pm | Citizen TV 555 views Duration: 20:50 Je, miungano ya kisiasa huchochea mapendeleo? Baadhi ya maeneo hupewa umuhimu kuliko mengine Je, utawala wa Rais Ruto umebagua maeneo kisiasa? Gavana wa Nyeri alisema Mlima Kenya umebaguliwa