Skip to main content
Skip to main content

| MWENGE WA KAUNTI | Uchumi na Takwimu [Part 1]

  • | Citizen TV
    58 views
    Duration: 32:10
    Utafiti wa uchumi waonyesha pato la kitaifa limeongezeka Ripoti yasema pato limeimarika kwa asilimia 4.6. KNBS: sekta ya kilimo imechangia pakubwa ongezeko Kenya ni ya tatu nyuma ya nigeria na afrika kusini Serikali yakosoa ripoti hiyo ya utafiti wa uchumi Rais akosoa yaliyomo katika ripoti hiyo kuhusu uchumi