Mwenyekiti wa muungano wa gofu David Ndung’u kuhitimisha muhula wake wa mwaka mmoja

  • | NTV Video
    39 views

    Mwenyekiti wa muungano wa gofu nchini David Ndung’u atahitimisha muhula wake wa mwaka mmoja tarehe 30 mwezi huu.

    Na kama desturi uliandaliwa mchuano wa kumuaga katika uwanja wa Limuru Golf and Country Club katika kaunti ya Kiambu ambapo zaidi ya wachezaji 205 walishiriki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya