23 Oct 2025 1:06 pm | Citizen TV 3,689 views Duration: 3:09 Mwenyekiti wa Royal Media Services Dkt. SK Macharia hii leo ametoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa waziri mkuu hayati Raila Odinga, na kuomboloeza pamoja na familia.