Mwili umepatikana ndani ya lori mjini Rongo

  • | Citizen TV
    481 views

    Maafisa wa Polisi katika kaunti ndogo ya Rongo wanachunguza kisa ambapo mwili wa mtu Mmoja ulipatikana ndani ya lori lililoegeshwa kando ya barabara mjini humo