Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa mwanamume wapatikana Muguga, Kikuyu

  • | KBC Video
    932 views
    Duration: 3:48
    Wingu la huzuni limetanda katika kijiji cha Thamanda, Muguga, eneo bunge la Kikuyu, baada ya mwanamume mwenye umri wa miaka 26 kupatikana ameuawa na mwili wake kutupwa chini ya daraja la reli la Muguga karibu na Barabara Kuu ya Nairobi–Nakuru. Marehemu, William Macharia, alikuwa seremala. Familia yake sasa inataka haki itendeke ,maafisa wa polisi wakianza uchunguzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive