Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa mwanaume mmoja wapatikana ndani ya tanki la maji katika eneo la Kiserian

  • | Citizen TV
    3,226 views
    Duration: 2:39
    Hofu na maswali yagubika wakaazi wa Kiserian kaunti ya Kajiado baada ya mwili wa mwanaume mmoja kupatikana ndani ya tanki la maji la lita elfu kumi katika nyumba za kukodisha usiku wa kuamkia leo. wakaazi wanalaumu hali duni ya usalama eneo hilo na kuchelewa kwa maafisa wa polisi kufika eneo la tukio.