- 6,165 viewsDuration: 3:04Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 105 ambaye alipoteza mguu wake kwenye mapigano ya uhuru wakati wa vita vya Mau Mau sasa amepata uwezo wa kutembea tena. Mzee Mwathi Mukinda kutoka kaunti ya Tharaka Nithi anafurahia kurejeshewa heshima na uwezo wa kutembea baada ya kupata mguu bandia.