13 Feb 2026 1:18 pm | Citizen TV 1,860 views Duration: 2:14 Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 alishambuliwa na kuuwawa kutokana na mzozo wa mchanga katika kaunti dogo ya mwingi east , kaunti ya Kitui.