Mzigo wa Karo: Wanafunzi maskini wahangaika kwa kukosa karo

  • | Citizen TV
    1,127 views

    Kero ya karo inazidi kuwahangaisha wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na shule za sekondari. Wanafunzi wengi kutoka familia maskini na ambao walipata alama nzuri na kuteuliwa kujiunga na sekondari huenda wakakosa kuendelea na masomo.