Mzozo umeibuka kuhusiana na umiliki wa ardhi kwenye mtaa wa Huruma Nairobi

  • | KBC Video
    8 views

    Mzozo umeibuka kuhusiana na umiliki wa ardhi kwenye mtaa wa Huruma Nairobi huku wanachama waasisi wa baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM sasa wakidai ardhi hiyo ilitolewa rasmi kwa baraza hilo mnamo mwaka 1982 na aliyekuwa meya wa mji wa Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News