Skip to main content
Skip to main content

Mzozo unaohusu usajili wa wananchi na shirika la kibinafsi watokota Samburu

  • | Citizen TV
    442 views
    Duration: 3:18
    Hofu imezidi kutanda katika kaunti ya samburu kutokana na shirika moja lilisolokuwa la serikali na linalohusishwa na kanisa kuendeleza usajili wa wanachama, walengwa wakiwa waumini wa madhehebu mbalimbali. Inaarifiwa kuwa shirika hilo limetumia ahadi ya kuwapa fedha wenyeji ili kujiunga nalo, hali inayokosolea na makasisi wa samburu..