Mzozo wa Afya : Wauguzi kutoka Kaunti ya Kajiado na Meru watishia kugoma

  • | KBC Video
    10 views

    Maafisa wa muungano wa matabibu humu nchini wametoa ilani mbili tofauti za kugoma katika siku 14 zijazo kwenye kaunti ya Kajiado na ya siku saba kwenye kaunti ya Meru huku wakizihimiza serikali za kaunti hizo mbili kushughulikia masuala yanayowaathiri wanachama wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News