Skip to main content
Skip to main content

Mzozo wa SHA wazidi, Gachagua amshutumu Duale

  • | Citizen TV
    5,150 views
    Duration: 3:02
    Malumbano kati ya kinara wa DCP Rigathi Gachagua na waziri wa Afya Aden Duale yaliendelezwa kwenye ziara ya upinzani katika eneo la Ukambani. Gachagua akisisitiza kwamba waziri Duale anahusishwa na umiliki wa kampuni moja inayotumika kutekeleza utendakazi wa bima ya SHA, kwenye madai yaliyoendelea kupingwa na waziri Duale, Kama Seth Olale anavyotuarifu