- 576 viewsDuration: 2:51Mtu mmoja amekamatwa na shehena ya bangi kunaswa kwenye operesheni iliyofanywa na Maafisa wa idara ya kupambana na vileo na dawa za kulevya, NACADA. Kwenye msako huo uliofanywa kwa ushirikiano na maafisa wa polisi katika eneo la Njoro katika kaunti ya Nakuru. Mshukiwa huyo anaaminika kuwauzia mihadarati wanafunzi wa shule za upili na vyuo vikuu