Skip to main content
Skip to main content

Naibos yaibwaga Mara Sugar 1-0 kwenye mchuano wa KPL

  • | Citizen TV
    212 views
    Duration: 1:03
    Timu ya Nairobi United ijulikanayo kama Naibos imeanza kampeni ya ligi kuu ya KPL kwa kishindo na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mara sugar kwenye mechi iliyochezwa katika uwanja wa Awendo Green. Baada ya sare bila katika kipindi cha kwanza, Naibo ilipata bao la pekee katika kipindi cha pili kupitia mchezaji Ovella Ochieng'