Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Mahakamani

  • | Citizen TV
    2,271 views

    Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat anatarajiwa kufika mahakamani hii leo kuhusu mauaji ya Mwalimu na Mwanaharakati Albert Ojwang