- 7,558 viewsDuration: 2:14Naibu rais Kithure Kindiki leo alifanya mkutano na viongozi wa eneo la Maara, ajenda kuu ikiwa ujenzi wa daraja tata ya Nithi iliyosababisha maandamano katika siku za punde. Kindiki akisema kuwa kubadilishwa kwa muundo wa Daraja hilo, Taratibu ndefu za Kumpata mkandarasi atakayeweza kuijenga Daraja hilo ni kati ya sababu zilizochelewesha kuanza kwa ujenzi wake.