Naibu rais ameahidi watu wa Kisii kuwa ataimarisha uchumi iwapo atashinda uchaguzi Agosti

  • | K24 Video
    54 views

    Naibu rais William Ruto amekuwa katika maeneo ya kaunti ya Kisii alikoahidi kuimarisha uchumi akichaguliwa rais wa tano wa taifa hili. Katika kampeini hiyo Ruto alimkashifu kinara wa Azimio Raila Odinga na kudai kuwa anaangazia masuala ambayo hayatawafaa Wakenya.